"I does not add up"... What hell is that?
Mkuu mimi kama nina kipato cha mil 1 kwa mwezi kufanya harusi ya mil 5 sio dhambi maana nikijipanga kwa miaka mi 2 ninaweza kuisave..
Sasa kama mtu ana kipato cha mil 10 kwavmwezi ulitaka afanye harusi ya laki 9?
Halafu hizo pesa zote kazi yake itakuwa nini??
Kama mtu pesa anayo ni ruksa kufanya sherehe hata ya bil 1..maana pesa katafuta mwenyewe na hayo ndio matumizi yake..
Uzwazwa ni kufanya harusi ya mil 20 wakati una kipato cha laki 2...
You needn't have your mouth foaming at it, buddy...he herwhat the hell do you think it is?
You needn't have your mouth foaming at it, buddy...he her
Povu...
Afadhali huyo anayetumia hela nyingi kwa ndoa halafu inavunjika baada ya miezi michache, kuna watu anamnunulia Mwanamke gari la milioni 60 anatumia line za voda na tigo kwa wiki moja kwenye hoteli ya kifahali ya milioni 2 kwa siku, halafu akitoka hapo hana haja naye tena, na hizo line za tigo na voda anabadilisha anachukua mwingine, huyu nadhani ndiyo atakuchanganya zaidi
Mkuu wengine pesa inatafutwa kwa ajili hio..Nimeipenda sana hili jibu na ndo maana kuna msemo unasema " don't bite more than you can chew." Pia nimekurekebishia lets say 5m or less. Lakini kwanini uangaike kote huko alafu mwisho wa siku kila mtu achukue hamsini zake si bora mgebaki vile vile ki uwizi uwizi kuliko kuwa na historia kuwa ulioa/kuolewa ukaachika/ndo kuvunjika?
Nashukuru mungu harusi zetu hazigharamiwi pesa nyingi hata ndoa ikivunjika hakuna majuto mazito kama hayo.
Just after swalat magharib au inshaa nachukua jiko huyooo home. Hizo milion zetu kadhaa nipeni nifanyie maisha.
Mkuu wengine pesa inatafutwa kwa ajili hio..
Halafu kutengana na kudumu sio jambo la kupredict kirahisi..
Kuna watu walipendana sana enzi za uchumba lakink baada ya ndoa ikabuma...kwahio kupredict ni ngumu sana
Iv kama natoa michango ya harusi kila hiitwapo leo than nkafunge harusi kimya kimya il iweje kwa mfano? Lazima nliowachangia wanichangie haijalishi ni ml50 au 100 lazima na zao ziliwe...hyo ya ndoa kudumu au kutodumu hayawahusu!
Iv kama natoa michango ya harusi kila hiitwapo leo than nkafunge harusi kimya kimya il iweje kwa mfano? Lazima nliowachangia wanichangie haijalishi ni ml50 au 100 lazima na zao ziliwe...hyo ya ndoa kudumu au kutodumu hayawahusu!
I thought mie tuu ndo kaniacha njia panda...kihabeshi hicho nafikiri"I does not add up"... What hell is that?