Matukutuku
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 269
- 126
Hivi wanajamvi kuna namna ya kumfanya mtoto mdogo wa miaka miwili aanze kutumia mkono wa kulia badala ya mkono wa kushoto??
Hii ni asili yao ndio maana wanavaa saa mkono wa kulia, ila huyo asimlazimishe kutumia kulia mashoto ni gift kwa africa yetuMashoto wanakuaga wapo vizuri up stairs automatic eg Baraka Obama,Bill Clinton,Bush,Ronald Reagan,Fidel Castro,Prince William,Prince Charles nk