hebu fanya mazoezi upunguze tumbo hilo
binadamu kuwa kama kiboko haipendezi
Asante saana nitafuatilia hatua ya kwanzaUnataka six pack kama zangu!?
Fuata hiki..
1.Kuondoa Mafuta ktk tumbo.
a.Pangilia Chakula.. Epuka vyakula vya wanga nyakati za usiku, badala yake protini na matunda kwa wingi.. Kula kiasi kidogo cha chakula ila Mara kwa Mara, "junk food" sio rafiki kwako, EPUKAAAAA. Kunywa Maji mengi sana.
b.Mazoezi.. Usifanye mazoezi ya tumbo tu.. Bali Fanya hivi.. Anza kwa kukimbia, taratibu.. Ongeza mwendokasi.. Ongeza tena na tena.. Ukichoka kimbia kwa kasi zaidi.. Mazoezi yako yalenge mwili wote pia, usisahau push ups, squats, kichura, kupanda ngazi na stretch mbali mbali..
Sehemu ya pili Ni kuanza kutafuta six pack... Nitakuelekeza ukimaliza hatua ya kwanza..
Kama hujaelewa uliza,
unaweza anza kwa kufanya jogging kwanza yani mbio za taratibu kama unatembea vile kwa sababu hauna pumzi ya kukimbia kwa mwendo kasi.Utakua unaongeza speed yako ya ukimbiaji taratibu kwa kadri unavyo zoea,pia siku za kwanza kama 3 hadi 5 utapata maumivu makali sana ya misuli baada ya hapo utakua poa.
Ili upate fast results za ku lose weight inabidi ujizoeshe kukimbia kwa mwendo kasi ndini ya muda mfupi,hapa namaanisha unaweza kukimbia kwa speed kali kwa dakika 15 mpaka 20 na utakua ume choma carrolies nyingi zaidi kulika mtu atakae fanya jogging kwa dk 40.Mimi huwa nakimbia kwa dk 20 tu kila asubuhi ila speed yake usipime especially ukizingatia kwamba muda ni mali na lazima uwahi kwenye shughuli zako.
Kuhusu kuruka kamba unaweza anza kwa kuhesabu lbda 50 mpaka 100 kwa siku za kwanza na ukisha zoea hutakiwi kuhesabu ila una fuata muda.Kwa mfano unaweza weka timer kwenye simu yako au uka tega alarm ilie baada ya dakika 5,10 au 20 kutokana na stamina yako,baada ya hapo unaruka non stop mpaka ukisikia alarm.Unakimbia kwanza asubuhi,unaruka kamba na unakunywa maji mengi ambayo sio ya baridi baada ya mazoezi yani ndani ya siku 14 uta anza kuona tofauti kubwa tu.
Ziada,,,Usifanye mazoezi ya tumbo kabisa wakati kitambi bado hakija pungua kwa sababu misuli ya tumbo ita kakamaa ila kitambi hakitaisha na utaishia kuwa na kitambi kigumu tu. Kila la heri
Hatua ya Kwanza ya kukimbia, kuruka kamba na squat ni kwa muda gani?Unataka six pack kama zangu!?
Fuata hiki..
1.Kuondoa Mafuta ktk tumbo.
a.Pangilia Chakula.. Epuka vyakula vya wanga nyakati za usiku, badala yake protini na matunda kwa wingi.. Kula kiasi kidogo cha chakula ila Mara kwa Mara, "junk food" sio rafiki kwako, EPUKAAAAA. Kunywa Maji mengi sana.
b.Mazoezi.. Usifanye mazoezi ya tumbo tu.. Bali Fanya hivi.. Anza kwa kukimbia, taratibu.. Ongeza mwendokasi.. Ongeza tena na tena.. Ukichoka kimbia kwa kasi zaidi.. Mazoezi yako yalenge mwili wote pia, usisahau push ups, squats, kichura, kupanda ngazi na stretch mbali mbali..
Sehemu ya pili Ni kuanza kutafuta six pack... Nitakuelekeza ukimaliza hatua ya kwanza..
Kama hujaelewa uliza,
Ha ha ha ha ha ha haHapo penye kupunguza bia, tutagombana tu