Kutumia Internet bundles sasa imekuwa anasa

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,184
Reaction score
35,838
Hapo awali mtu asingewaza kusema anafilisika kisa gharama za matumizi ya internet ila kwa sasa wamekomesha watu.

Yaani mtu unatumia bundles ngali roho ikiwa juu juu ukigusa tu ka video unaambia umetumia 75%, hatariii.
 
Dawa ni unlimited tu, hizi bando za kupima ni pasua kichwa! Kuna jirani yangu hapa nimemuunga na Wi-fi, kaniona mkombozi niliyeshushwa na Mungu [emoji3]
๐ญ๐ฎ๐ฉ๐ž ๐ฎ๐ณ๐จ๐ž๐Ÿ๐ฎ ๐ฐ๐š ๐ฐ๐ข๐Ÿ๐ข ๐ฎ๐ง๐š๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐š ๐›๐ฎ๐ง๐๐ฅ๐ž ๐ฅ๐š ๐ฌ๐ก. ๐๐ ๐š๐ฉ๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐ฆ๐ฐ๐ž๐ณ๐ข?
 
Ni Vodacom Supakasi, 120,000 kwa mwezi! Ni unlimited, speed up to 30mbps!
 
Yule waziri si aliwaambia, mnashinda mtandaoni kwa sababu hamna kazi za kufanya.

Sasa acha tuendelee kulia #BoniYai on X.
Unajua suala la kupanda kwa gharama za vifurushi ni mbinu zakiutawala, wananchi wakose access ya data ili wawe wajinga pale serikali inaposema inanunua vichwa vya treni mkubaliane nao,

Ukiwa na data ya bei cheap, chap uko mtandaoni unaangalia hizo specific za vicha vya treni then unatoa maoni yako, kuna mambo mengi serikali inayabania kwa lengo kuwapumbaza wananchi wake wasijue chochote ili wabakie madarakani, kama ilivyo mtaji wao mkubwa ni ujinga na umasikini
 
Dawa ni unlimited tu, hizi bando za kupima ni pasua kichwa! Kuna jirani yangu hapa nimemuunga na Wi-fi, kaniona mkombozi niliyeshushwa na Mungu [emoji3]
Ana nidhamu na matumizi? Kuna wengine ukiwaunga umejitafutia shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ