Smart Technician
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 653
- 829
Nashukuru sana kwa ufafanuzi nlikua naomba kujua jinsi ya kutambua receiver za mpega 2 na mpega 4kwa upande huo ambao dishi la azam limeelekea sasa hivi utapata tu chanell za dini kama TV Africa, imani na tv ya mashia inaitwa IBNTV kama sijakosea, pia zipo za dini za kingereza, chanell sijui za zambia za muvi na azam xtra ya matangazo na chanell nyengine mbali mbali za africa magharibi zinazoongea kifaransa nafikiri.
link ya tv na frequency hii hapa
Eutelsat 7B at 7.0°E - LyngSat
ila hio receiver yako ya mediacom ni mpeg4 au mpeg 2? kama ni 2 hutazipata.
chanell za Tanzania itabidi ubadili mwelekeo wa dish, hadi hapa
Intelsat 906 at 64.2°E - LyngSat
utapata almost chanell zote, TBC, chanell 10, itv, eatv, capital, agape etc
hapo wameandika unaweza kuzishika na KU (dish kama lako) , ngoja waje wataalamu zaidi kama inawezekana watasema,
ila sio mbaya kujaribu mwenyewe kama una muda free. tumia simu download satelite finder kisha utafute hio satelite then elekeza dish huko halafu ujaribu kusearch.
mara nyingi mbele tu ya receiver unaona soma maandishi, kama hutaona mbele geuza nyuma.Nashukuru sana kwa ufafanuzi nlikua naomba kujua jinsi ya kutambua receiver za mpega 2 na mpega 4
Sasa Nimeyaona ni mpega 2 kumbemara nyingi mbele tu ya receiver unaona soma maandishi, kama hutaona mbele geuza nyuma.
basi tafuta fundi au wewe mwenyewe ubadili muelekeo wa dishSasa Nimeyaona ni mpega 2 kumbe
Nashukuru ngoja nishugulikiebasi tafuta fundi au wewe mwenyewe ubadili muelekeo wa dish
Mimi natafuta receiver(FTA) ambayo inaweza kufungua channels zote za canalsat!....ni receiver ipi nzuri kwa kazi hiyo?kwa upande huo ambao dishi la azam limeelekea sasa hivi utapata tu chanell za dini kama TV Africa, imani na tv ya mashia inaitwa IBNTV kama sijakosea, pia zipo za dini za kingereza, chanell sijui za zambia za muvi na azam xtra ya matangazo na chanell nyengine mbali mbali za africa magharibi zinazoongea kifaransa nafikiri.