Tafuta SMS gateway providers au bulk SMS services. Lazima kuna mmoja ana mobile app inayoutilize API yake.
Anyway, labda nikuambie tu, mara nyingi hizi messages zenye Alphanumeric Sender ID hazitumwi kama utumavyo meseji ya kawaida (kupitia sms centre ya mtandao husika)
Message hizi zinapitia online SMS gateways kwahiyo unatumia Internet kuzituma. Hivyo haziwezi kuwa replied. Kulipia hulipi kwa mtandao wako. Unamlipa SMS provider wako moja kwa moja, na unalipa kabla ya kutumia.
Eleza unataka kuzitumia katika mandhari gani.