Kutuma mzigo toka nje ya nchi!

Intelsat

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
323
532
Wakuu kuna mtu anataka anitumie mzigo kutoka Uarabuni ila hajui utaratibu je utaratibu uko vp kuanzia gharama na je mimi mpokeaji naupokelea wapi anataka atumie ndege mzigo hauzidi kilo 7 njia ipi ni rahsi kutumia?
 
Yupo nchi gani
 
d04209dd53e4e35a4557d8147b104a05.jpg
 
Back
Top Bottom