Kutuma hela toka Uganda to Tanzania

Kutuma hela toka Uganda to Tanzania

Nuraty J

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
1,724
Reaction score
3,834
Habar,
Jamani kuna mtu anataka kunitumia ela toka Uganda namdai, ivi kuna njia gani anaweza akatumia ili kunitumia ela??

na mimi Sina account ya bank nilikombaga akiba yote nikafunga akaunt yenyewe ela nikampa boyfriend wangu akalipie ada hatma yk ntaanzishia thread siku zijazo, ila nimekoma kupenda hakyamungu
 
Mwambie anipe Mimi hizo za Uganda then mm nikutumie za TZ M-PESA maana nipo Uganda halafu M-PESA nina hela zetu za bongo, njoo pm
 
Habar,
Jamani kuna mtu anataka kunitumia ela toka Uganda namdai, ivi kuna njia gani anaweza akatumia ili kunitumia ela??

na mimi Sina account ya bank nilikombaga akiba yote nikafunga akaunt yenyewe ela nikampa boyfriend wangu akalipie ada hatma yk ntaanzishia thread siku zijazo, ila nimekoma kupenda hakyamungu
Una shepu matata sana inaonesha
Eh unampenda bf wko mpaka ulimlipia Ada

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale Kampala town kati kuna jamaa mkenya anaitwa Danny anatuma na kupokea pesa kwa Mpesa,airtel money,tigo pesa yani kama huku huku Tz so mwambie akakutumie hela yako hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom