KUTUMA APPLICATION ZA UALIMU ZINAANZA LINI?

KUTUMA APPLICATION ZA UALIMU ZINAANZA LINI?

Joined
Nov 22, 2016
Posts
23
Reaction score
21
Wadau naomba wenye taarifa za kutuma maombi ya ualimu yanaanza kama mada inavyosema hapo juu naomba kuwasilisha
 
kasomee ualimu wa msingi kama umekosa sifa ya kusomea ualimu wa sek wa sayansi.zaidi ya hapo imekula kwako. ualimu wa msingi hawawezi kutosha daima,mpaka dunia inaisha
 
Things in this land are unpredictable, unaweza ukasomea ualimu wa msingi bado mambo yakawa magumu baadaye utashangaa keshokutwa wakisema waalimu wa sanaa tunawajiri shule za msingi mana tumewasomesha. In short no body knows about tomorrow
 
Aisee...bado mnaomba ualim!??

Sishauri
 
Back
Top Bottom