Kutoonekana kwa Viongozi/Mwakilishi wa Vyama vya Upinzani Katika Msiba wa Mke wa Mwakyembe

HATARI SANA! Huku ndiko nchi inakopelekwa kwa kasi ya kimondo
 
CDM imewakilishwa na Mheshimiwa Joseph Mbilinyi.
Mbilinyi amekwenda kwa kiherehere chake tu na ukabila walionao watu wa Mbeya, hajatumwa na chama.

Mtu mnafki kama Mwakyembe ni wa kumpa clear msg kama hii, na bado.
 
Nani alianzisha kwa Kisumo? Sababu ya msingi ilikuwa nini?
Mtenda akitendewa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiachana na masuala ya ushabiki wa vyama,naomba uweke ukweli bayana "kati ya Chadema na CCM wapi ni wa hovyo?"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hukusikia boss alivyokataza kwenda kuwajulia hali wapinzani kuleeeeeee...

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona alikuwepo Sumaye Mume mwenzake
George Mwakyembe si wote wamepata wake zao kutoka Palestine? Hata Sugu na Nape wapo acheni upuuzi kwenda kwenye msiba it's not a big deal sasa kama hawajapewa microphone watoe salaam utawaonaje! Wacheni ushamba a burial should and must be private issue! Nashangaa akina Mwinyi kutoa heshima za mwisho is it compliant to the Quran?
 
Wewe una lako jambo. Mbona Mh Sugu ameonekana msibani? Au ulitaka mpaka iweje? Arusha walikuja wakanyimwa kuzungumza, Sugu amehudhuria japo hakuongea inakuwa nongwa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…