Kutoonekana Bima ya GARI TIRA

ton11

Senior Member
Joined
Apr 8, 2019
Posts
110
Reaction score
150
Wakuu mwenye kuelewa anijuze nimekata bima ya gari toka kwa wakala mmoja hivi, wiki 3 zilizopita, lakini mpaka leo ni siku ya 22 nikiangalia ile app ya TIRA inaniambia gari bado inadaiwa bima. Je hii ni kawaida? Je ni siku ngapi inatakiwa ziwe zinasoma kwwnye app ya TIRA? Nikimuuliza wakala huyo ananiambia eti network inasumbua siku 22 netwark? Au nimepigwa?
 
Bima utakuwa umepewa ya kanjanja

Ova
 
Umepigwa mkuu inatakiwa isome pale pale mi huwa nakata na bank ya crdb bima za kikanjanja nimeishapigwa sana sitaki tena kila branch ya crdb wana iyo huduma
 
Amekupiga baba network haiwezi kusumbua zaidi ya siku mbili,kamata huyo wakala sweka ndani mwizi huyo.
 
Umepigwa mkuu inatakiwa isome pale pale mi huwa nakata na bank ya crdb bima za kikanjanja nimeishapigwa sana sitaki tena kila branch ya crdb wana iyo huduma

Da!
Asante Mkuu kwa taarifa
 
Hao hadi uwatishie police ndio watakamilisha huduma yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…