Kutongoza ni Sanaa nimeamini

Nitumie no ake pm nmshauri
Kijana mwenzangu tafadharini
Nje na kutumia maneno mengi ya kuzungukaa maaana nimezoea kumshawishi mwanamke nakupata kamchezo ndani ya siku moja au mbili
lakini mwezi uliopita KAMATI YANGU YA MAAMUZI MAGUMU,imeshindwa kufanya kazi ipasavyo ,,,nimekutana na mwanamke ambaye hayuko siriaz katika mazungumzo iwe wakati nawasilisha hiiisiaa zangu au Mambo mengine ,,,she is not siriaazz kabisaa,,,nakuishia kunishifu tu una ung'eng'e wa kushawishi mzuri but,,,sijakubaliwa Wala kutiliwa maanani mwezi mzimaaa sasa umeishaa,,,Jamani nimeshiwa mbinu kabisaaaa,,,
Hebu nawewe ndugu tueleze niwakati gani uliowahi kutanana nao wa umemwelewa mwanamke Fulani lakini
Ikawa ni vigumu kufikia malengo yako ya kuwa nae katika mahusiano
Inawezekana siko peke yangu tuliokumbana na Hali hiii,,,,
Twendeni tutililike inaweza ikatupa mwanya sisi wengine tujikwamue kwenye majanga Kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaap vzr upate semina elekezi ktk kukabiliana na techn mpya na mbinu tofauti tofauti kulingana na mazingira
Kijana mwenzangu tafadharini
Nje na kutumia maneno mengi ya kuzungukaa maaana nimezoea kumshawishi mwanamke nakupata kamchezo ndani ya siku moja au mbili
lakini mwezi uliopita KAMATI YANGU YA MAAMUZI MAGUMU,imeshindwa kufanya kazi ipasavyo ,,,nimekutana na mwanamke ambaye hayuko siriaz katika mazungumzo iwe wakati nawasilisha hiiisiaa zangu au Mambo mengine ,,,she is not siriaazz kabisaa,,,nakuishia kunishifu tu una ung'eng'e wa kushawishi mzuri but,,,sijakubaliwa Wala kutiliwa maanani mwezi mzimaaa sasa umeishaa,,,Jamani nimeshiwa mbinu kabisaaaa,,,
Hebu nawewe ndugu tueleze niwakati gani uliowahi kutanana nao wa umemwelewa mwanamke Fulani lakini
Ikawa ni vigumu kufikia malengo yako ya kuwa nae katika mahusiano
Inawezekana siko peke yangu tuliokumbana na Hali hiii,,,,
Twendeni tutililike inaweza ikatupa mwanya sisi wengine tujikwamue kwenye majanga Kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo, anapokusifu na wewe kuwa siriaz usimewe sifa, ila usije ukalegeza yaani ukaanza kuleta urafiki wa dawa ni kuwa serious kuonesha na kusisitiza nia, ukiona anaendelea kausha kidogo ila usimpe nafasi nyingine kama urafiki au ukaribu ambao hauelekei na malengo yako

Alexander The Great
 
Back
Top Bottom