kamati yamaamuzi magumuu
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 227
- 263
- Thread starter
- #41
[emoji1374][emoji1374][emoji1374][emoji38][emoji38]ngoja nijaribu naupande wa pesa pia
kamati ya maamuzi magumu
Embu mtumie tu laki 5 kwenye mpesa halafu kaa kimya uone. Tafuta pesa ung'eng'e utakumalizia sabuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
kamati ya maamuzi magumu