Kutongoza ni Sanaa nimeamini

Kutongoza ni Sanaa nimeamini

kamati yamaamuzi magumuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2019
Posts
227
Reaction score
262
Kijana mwenzangu tafadharini
Nje na kutumia maneno mengi ya kuzungukaa maaana nimezoea kumshawishi mwanamke nakupata kamchezo ndani ya siku moja au mbili
lakini mwezi uliopita KAMATI YANGU YA MAAMUZI MAGUMU,imeshindwa kufanya kazi ipasavyo ,,,nimekutana na mwanamke ambaye hayuko siriaz katika mazungumzo iwe wakati nawasilisha hiiisiaa zangu au Mambo mengine ,,,she is not siriaazz kabisaa,,,nakuishia kunishifu tu una ung'eng'e wa kushawishi mzuri but,,,sijakubaliwa Wala kutiliwa maanani mwezi mzimaaa sasa umeishaa,,,Jamani nimeshiwa mbinu kabisaaaa,,,
Hebu nawewe ndugu tueleze niwakati gani uliowahi kutanana nao wa umemwelewa mwanamke Fulani lakini
Ikawa ni vigumu kufikia malengo yako ya kuwa nae katika mahusiano
Inawezekana siko peke yangu tuliokumbana na Hali hiii,,,,
Twendeni tutililike inaweza ikatupa mwanya sisi wengine tujikwamue kwenye majanga Kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom