Kutongoza mmeshindwa..lol

mchambuzixx

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,292
Reaction score
946
hivi siku hizi wanaume tumeshindwa kutongoza au ndo dot com generation mana kila siku humu JF utakutana na uzi mwanaume anatafuta mchumba tena utakuta mtu mwenyewe miaka 30 hadi 35....hayo mambo yalikua kwa wanawake na wengi wao ni wale ambao wameshazidi umri miaka 30 sasa mambo yamegeuka wanaume ndo wengi humu wanatafuta wake jamani sera zimetuishia au mana wanawake wametuzidi kwa milion 3 katika sensa...yaani wote hao ukose hata mmoja duuh
 
Ishu ni kwamba watu wanapenda miteremko sana
 
na hii miteremko ndo inapelekea watu kubaya yaani mtu hataki kusumbuliwa yeye anataka aletewe duuh
 
Wengi waongo wagegedaji..Hawana haja ya mchumba wala mke...Waliobaki wachache ni domo zege au workaholic hawana muda wa ku socialize na kukutana na watu.
 
Wameshahau kuwa raha ya ngoma uingie uicheze we mwenyewe,ndio hawa wanatumia marafiki zao kuwatongozea afu mwisho wa siku hao waunganishaji ndio wanaishia kuchukua mzigo afu we mtumaji unaishia kunawa tu tehtehte,na kitu kingine ni kuwa wanakuwa na nia moja tu kuchezea na sio malengo yakudumu ndio maana hawajui hata waseme nini ili uongo wao ukubalike.
 
dah usinichekeshe nilishamzunguka jamaa hivi hivi mtoto kila nikimpigia sound jamaa anasema kwani yy mwenyewe hawezi kuongea nikaona ujinga nikapindua mwenyewe.......wanawake hupenda wanaume wenye confidence sasa kama kutongoza umeshindwa kuomba gemu si itakua balaa
 
Haaahaaaahaaa muone kwanza unavyojisifia kama uliyoyafanya mazuri,kwa hiyo huyo bi mdada ndo wife sa hivi au ndo ushamtema kitambo?
 
Ukisikia Magumegume ndio hao,Wanaumme wakisawasawa hawatongozewi watakufukuzia hata mwaka.....
 
Haaahaaaahaaa muone kwanza unavyojisifia kama uliyoyafanya mazuri,kwa hiyo huyo bi mdada ndo wife sa hivi au ndo ushamtema kitambo?
unajua ningebaki nae ungekua ugomvi mkubwa na mshikaji nikamwambia jamaa demu anapozi mbaya...ila uzuri wenyewe mtoto keshaolewa na jamaa hadi leo anapata shida sana hata mke kwa sasa anatafutiwa na ma aunt
 
Khaaaaaa pole yake imekula kwake hiyo.
unajua ningebaki nae ungekua ugomvi mkubwa na mshikaji nikamwambia jamaa demu anapozi mbaya...ila uzuri wenyewe mtoto keshaolewa na jamaa hadi leo anapata shida sana hata mke kwa sasa anatafutiwa na ma aunt
 
Kutongoza ni sanaa
Kama hujui sanaa, huwezi tongoza, period!
 
wamekua madomo legeza heheeeeee!nipite zangu mie staki kesi!
 
hahahahaaaaaaa jamani MMU kuzuri wewe yaani mwingine anaanza na fiksi nyingi mara oh mie kwetu tunazo yale magari ya unaoona Transist ni babaangu, kazi kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…