Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,055
- 2,131
Duh! hivi unaelewa unachokiongea kweli?Ni aibu kwa mtu wa karne hii kupambania kutetea uongo.
Mwandishi wa quran hakuzungumzia tetemeko. Alimaanisha kuyumba kama kuyumba
Ukisoma kwa kumuelewa ndiyo tutaelewana.
Mwandishi huyo aliamini dunia ni flat,
Na nadhani alidhani kuwa dunia ni kama meza tu na akadai kwamba milima ni nguzo za kushikilia dunia isiyumbe yumbe,
Ukweli ni kwamba kuyumba yumba huko alikokumaanisha ndugu mwandishi haikuwa tetemeko la ardhi kama unavyotaka kutetea hapa!!
Kwasababu kama kuyumba huko alimaanisha ni tetemeko ntakuuliza kama ndugu Allah (Mohammed) alitandaza ardhi na akaweka milima ili dunia isiyumbe, mbona sasa dunia inayumba (Tetemeko) ?
Nguvu ipi hiyo?Kuna Power kubwa iliyoumba ulimwengu na kuvipa uhai vyote vilivyo hai,lakini sio hiyo miungu ya kwenye vitabu vyenu,hiyo ni miungu mliyojitengenezea kwa malengo na matakwa yenu ya upumbafu na ujinga.
1. Milima kutengeneza stability dunia isiyumbishwe, hiyo ni Geological fact pia,.. do you have any doubts?Vipi kuhusu milima kutengeneza stability dunia isiyumbishwe?
Vipi kuhusu nyota kuwa ni mapambo?
Hivyo ulivyo orodhesha Hapo ni Fiction stories.Ukiachaa na Torat, Zaburi, Injil, Qur'an.... Kuna ushahidi mwingne juu ya uwepo wa MUNGU??
Hakuna mtu analazimishwa kuamini uwepo wa Mungu, na kama kungekuwepo huo mlazimisho basi huu mjadala usingekuwepo.Unalazimisha Mungu awepo tu, hyo ni hypothesis tu kwenye mambo ya asili usiyoyaelewa.
Wewe umeyatungia hadithi na unayaforce yawe kweli.
Tunaprove vipi hiyo hypothesis yako ili tuthibitishe pasina shaka!?
Unaweza thibitisha Mungu yupo!?
Nilikuuliza ututajie sifa za kitu kilicho jificha ni zipi ? Hukujibu hili swali.Ebu nikumbushe hilo swali kwanza
Tafuta katika kamusi zote za lugha zote hakuna maana ya uzembe hii au hiki unachokiita wewe ni uzembe si uzembe.Uzembe ni kuumba ulimwengu mbovu unaoweza kuruhusu watu kufanya maovu ilihali uwezo wa kuumba ulimwengu ulio bora alikuwa nao.
Bado hujaonyesha uzembe sababu, haya yote anataka yeye yatokee na asingetaka yatokee yasingetokea pia.Uzembe wa Mungu ni kuwa na fikra ndogo za kufikiria kuwa lengo la ulimwengu huo mbovu ni kipimo cha kuwapima ili ajue imani zao hao viumbe wake, ilihali yeye ni mjuzi wa kila kitu asiye hitaji kipimo cha aina yeyote kujua chochote.
Uzembe wa Mungu ni kuumba binadamu mwenye madhaifu akaishi kwenye ulimwengu wenye madhaifu, akiwa na mategemeo ya kumuona binadamu akifanya mambo kwa ubora.
Uzembe wa Mungu ni yeye kuona jambo rahisi kwa binadamu ambaye ni dhaifu kuweza kuishi bila kufanya ubaya, ilihali yeye mwenyewe ambaye ni mkamilifu anafanya ubaya kwa kulete mafuriko yanayoua hadi watoto wasio na hatia
Hakuna.Mengine mengi ukiwa na maana kuwa yeye ndio controller wa kila kitu?
Au kuna vitu vinafanyika bila ridhaa yake?
Onyesha hayo mabaya na utuambie umetumia nini kupima huo ubaya ?Kama kuweza kila kitu ni pamoja na kufanya mabaya, vipi bado ataendelea kuhesabika kuwa ni mwenye upendo wote?
Siku yake imefika na mbakaji ana kosa sababu amekuwa sababu ya kifo cha mtoto husika.Leo hii jambazi akaja akambaka mwanao wa miaka mitatu kisha akamuua.
Utaweza kusema kuwa siku yake ilikuwa imefika?
Na kama siku yake ilikuwa imefika, je hiyo haita maanisha kuwa mbakaji hana kosa kwasababu mpangaji wa siku za kuishi sio yeye ni Mungu?
Ndio maana nikasema hivi hao kufa kwao siku hiyo hiyo ndio ilikuwa haki yao na stahiki yao.Kwani ni watoyo wangapi wamezaliwa na wakafa siku hiyo hiyo?
Kwanini asiwasaidie hao kwanza?
Wengine wanafia tumboni hata fursa ya kuiona dunia hawaipati, huyo Mungu anakuwa wapi wakati hayo yanafanyika?
Kama umeona uwepo wa Mungu ni wewe. Kuna watu wanapitia magumu kwenye maisha hadi wanafikia uamuzi wa kusema hivyo.Habarini wakuu,
Unajua Dunia imejaa mengi sana, yakustaajabisha na kusikitisha pia. Binafsi nilikuwa nahitaji kujua hivi mtu au watu wasioamini uwepo wa MUNGU huwaga wapo serious au ni jokes tu?
Kuna mda hadi naogopa, ujasiri wa kukataa hakuna Mungu huwa mtu unautoa wapi?
Je, vipi kuhusiana na Miujiza na athari ya nguvu yake katika maisha yako ya kila siku, mfano mambo ya riziki, maradhi, uhai, kifo etc?
Kuna vitu vya kuviletea UTANI ila sio uwepo wa MUNGU, Kama hauamini uwepo wake basi ni vyema kuwa silent ila sio KUPOTOSHA yakuwa hayupo.
Hivi ujasiri wa kusema MUNGU hayupo mtu unakuwa nao vipi au sisi wengine TUNAE MUAMINI ni waoga?
[emoji116]. [emoji116]. [emoji116]. [emoji116]. [emoji116].
Famous People Who Mocked God
Here are the top 5 influential people who famously mocked god and ended up dead
1. John Lennon (The Beatles)
John Lennon was a British legendary who co-founded the British invasion band called ‘The Beatles‘ in the 1960s. Lennon and co-writer Paul McCartney wrote hundreds of songs together along with George Harrison and Ringo Star, and together they remained at the top of the list for nearly a decade. The ladies were especially head over heels in love with John Lennon.
Some years ago, during his interview with an American Magazine, Lennon had said: “Christianity will end, it will disappear. I do not have to argue about that. I am certain. Jesus was okay, but his subjects were too simple, today we are more famous than Him” (1966).
His remark led to an outrage among his fans and triggered a protest rally, people thought he mocked God, where people expressed their anger by setting their vinyl records and The Beatles’ posters afire. In 1970, The Beatles disbanded.

On the 8th of December 1980, Lennon was shot six times in his head by one of his fanatics in front of his house and died on the spot. Interesting fact, he kind of did predict how he would die. Now, that’s spooky!
2. Marilyn Monroe (Hollywood Celebrity)
She had the perfect life that anyone could ever dream of; a remarkable amount of wealth and great fame, and she was astoundingly beautiful.

One day during filming, she was visited by Billy Graham during a presentation of a show. He said the Spirit of God had sent him to preach to her. After hearing what the Preacher had to say, she said: ‘I don’t need your Jesus’. A week later, she was found dead in her bedroom.
The most accepted theory suggested she was suffering from depression and committed suicide. In fact, it was actually the right time for her to seek God but she mocked God.
3. Thomas Andrews (Titanic Shipbuilder)
[https://icytales]By Everett Collection/ Shutterstock
Thomas Andrews was inspired to build a ship that would be legendary during his time. After the construction of the mighty Titanic, a British luxury liner, a reporter asked him how safe the Titanic would be. With an ironic tone, he said, ”Even God himself couldn’t sink the ship”.
The result: I think you all know what happened to the Titanic.
[https://icytales]Icy Media
4. Tancredo Neves (President of Brazil)
During his Presidential campaign, he said if he got 500,000 votes from his party, not even God would remove him from Presidency.
Sure, he got the votes, but the unfortunate fella got sick a day before he was made President and died.
5. Bon Scott (AC/DC Former Vocalist)
[https://icytales]By loudersound.com
Scott in his golden days with AC/DC since 1974 had replaced Dave Evans as the vocalist of the band. On one of his 1979 songs he sang: ‘Don’t stop me; I’m going down all the way, down the highway to hell’.
A year later, Scott was found dead on 19 February 1980; he choked on his own vomit.
Humans can only come up with theories, but God alone knows the true reasons for their death.
Kama ndivyo, watu wanasali kwa Mamposya wote wangekuwa na magari. Mbona wengine ni maskinoi wa kutupwa huku akina mwamposya wenyewe wakiwa matajiri wa kutisha.Mzee umemkosea sana mungu sema kuna sehemu mnafeli maombi yanaitaji mtu uwe msafi kiroho sasa wew Msela nondo ni ngumu kuamini kwanza ndio unaweza nguvu za mungu au kunyakati hujazifikia [emoji51] wew ishi ila [emoji16][emoji16] Kuna siku anaweza kukuaminisha yupo
Cha ajabu wapendwa wanajitambulisha kwa salamu. Utadhani wameiona mbingu.Pagani asikutese. Hata hivyo mafundisho ya dini yanasema TUPENDANE. Hayajasema tuwapende wa imani zetu tu, kwa hiyo ni tuvumiliane.
Mfano mfu?
Kwani haya mabaya ya huu ulimwengu yapo kwa bahati mbaya au kwa makusudi?
Je "mabaya" ni mabaya kiasi iwe kosa endapo itabainika kuwa kuna mabaya?
Au mabaya sio jambo baya hivyo ni jambo zuri na tunapaswa kufurahi tunapoyaona?
Kama mabaya ni mabaya in any sort basi msababishi wa kwanza wa mabaya ndio "Mbaya"
Sasa binadamu hawezi kuingizwa kwenye hii lawama kwasababu yeye sio chanzo cha ubaya.
Mungu aliyeumba huu ulimwengu wenye kuruhusu mabaya kwa lengo la kuwatahini watu wake, ndio mbaya.
Ukisema Mungu hawezi kuwa mbaya licha ya kwamba yeye kuumba ulimwengu wenye kuruhusu mabaya basi hapo hapo tutakubaliana kuwa binadamu anayefanya ubaya uliokuwa sehemu ya asili yake hawezi kulaumiwa kivyovyote.