Ayo mambo ya kujiita mimi ni mlokole yananikera wakati usikute kuna utitiri wa abortion
siku mkague kama kweli ni bikira usikute sound
Kuna jamaa yangu alipigwa sound na demu eti mimi mlokole kumbe alishatoa mimba za kutosha kiasi kwamba hawezai zaa tena!Alipokuja gundua mbona alimpiga chini faster
Msitumie kivuli cha ulokole when you dont mean it!
Asalaamaleykum.wanajamvi leo kunakitu ningependa kushare na nyinyi natumain mwishon ntapata ushauri wenu.ok,mimi nna mpenzi wangu,mpenz wangu huyu ni mlokole wa nguvu sana,nimekaa nae kwa mda wa mwaka1,ktk makubaliano yetu ya kimapenzi na huyu dada tulikubaliana kutofanya mapenzi mpka hapo bdae atakapokuakamaliza masomo yake kwni kwa sasa yupo mwaka wa tatu anafanya degree ya sheria.kwa mujibu wake anasema yeye ajawai kukutana na mwanaume yoyte meaning bdo bikira,sasa juzi kati aliugua na pia alikua ana upungufu wa damu,tulienda hospital akapewa dawa.tatizo linakuja, juzi alienda hosptalini tena bila kunambia, alivorudi ndo akanambia kua anatokwa na maziwa pia chuchu zinauma hvyo anahsi dawa alizopewa mwanzon zimezigua,alinambia kua hospital pia ilibdi apime na mimba, sijapata logic yake ya kupima mimb wakati anajua kbsa bdo ni bikra alafu pia naomba kama kuna mtu anieleweshe tatizo ni nini mwanamke kutokwa na maziwa tu hvo?manake nahisi kufanywa zombie mda si mrefu.
Kaka huyo anakuzingua coz kama mlishakubaliana msishiriki tendo la ndoa halafu yeye anakuambia amepima mimba!...."mbaya nikimwambia kua she might be faking,atalia cku nzma eti simtrust,mara awez kuniacha nipoteze mda wangu bure,anaongea maneno meng,ila ntaufanyia kaz ushaur wako!"
Muovu huyo ndo maana anakuwa defensive
hawa viumbe never trust them nao wameanza kuwa waongo kama wanaume
Du chuchu kuuma ni dalili ya mimba 100% lakini hiyo ya maziwa kutoka sasa nahisi ni issue nyingine, in short it is complicated
@jawslaw, achana na porojo zetu hapa. Mpeleke babe wako hospitali mwenyewe, ingia nae kwa dr umsaidie. Anahitaji vipimo. Mahusiano ni kuaminiana, usijitie wazimu. Hao wanaokushabikia wenza wao wanatoa mimba na wanakaa kimya wala hawastukiwi. Sikuhizi ukifanyiwa DNCunakuwa hata hujisikii chochote zaidi ya kausingizi tu.
Asalaamaleykum.wanajamvi leo kunakitu ningependa kushare na nyinyi natumain mwishon ntapata ushauri wenu.ok,mimi nna mpenzi wangu,mpenz wangu huyu ni mlokole wa nguvu sana,nimekaa nae kwa mda wa mwaka1,ktk makubaliano yetu ya kimapenzi na huyu dada tulikubaliana kutofanya mapenzi mpka hapo bdae atakapokuakamaliza masomo yake kwni kwa sasa yupo mwaka wa tatu anafanya degree ya sheria.kwa mujibu wake anasema yeye ajawai kukutana na mwanaume yoyte meaning bdo bikira,sasa juzi kati aliugua na pia alikua ana upungufu wa damu,tulienda hospital akapewa dawa.tatizo linakuja, juzi alienda hosptalini tena bila kunambia, alivorudi ndo akanambia kua anatokwa na maziwa pia chuchu zinauma hvyo anahsi dawa alizopewa mwanzon zimezigua,alinambia kua hospital pia ilibdi apime na mimba, sijapata logic yake ya kupima mimb wakati anajua kbsa bdo ni bikra alafu pia naomba kama kuna mtu anieleweshe tatizo ni nini mwanamke kutokwa na maziwa tu hvo?manake nahisi kufanywa zombie mda si mrefu.
Sio kweli kwamba chuchu kuuma ni dalili ya mimba,wengine wanaumwaga chuchu hata wakiwa wanakaribia period.Du chuchu kuuma ni dalili ya mimba 100% lakini hiyo ya maziwa kutoka sasa nahisi ni issue nyingine, in short it is complicated
Naomba unijibu haya maswali nipate cha kukusaidiaLakini kwa sasa maziwa haya toki tena na jana kaingia bleed,cna uhakika kama ingetoa mimba angeingia bleed hv karibuni.