Lis
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 471
- 346
Hivi Kuna uhusiano gani kati ya kutoa mimba na kuwa na maji ukeni? Rafiki yangu amekata tamaa ya maisha anahitaji msaada, anadai kabla hajatoa ujauzito alikuwa anashiriki tendo Bila shida yeyote lakini sasa mchumba wake amekuwa akimlalamikia amekuwa na Maji mengi ukeni, amezunguka hospital nyingi Bila msaada, huenda utoaji mimba umechagia, anahitaji msaada wa kiutaalam. Nawasilisha