Asante sana kwa kunipa moyo nduguHizo damu zinafidia kipindi chote ambacho alibana damu sizitoke..! Tulia mkuu, hali itaisha baada ya malipizi
duh...!Mwache itakata. Mpe tende kwa wingi.
Mwambie achemshe mchaimchai mtupu bila kuchanganya na kitu anywe kutwa mara tatu.
Muwache kuuwa watoto, hizo ndiyo adhabu zake.
Kweli ndo mshahara wa dhambi huo, si ajabu asishike mimba tena.Mwache itakata. Mpe tende kwa wingi.
Mwambie achemshe mchaimchai mtupu bila kuchanganya na kitu anywe kutwa mara tatu.
Muwache kuuwa watoto, hizo ndiyo adhabu zake.
Kuna Doctor mtaalam wa mambo hayo ya kina mama na anayajua Sana mambo hayo kwakua yeye mwenyewe ni mwanamke na aliwahi kupitia shida hizo, sasaivi ni mshauri mzuri Sana kwa wanawake wanaotaka kujiingiza katika matumizi hayo ya Nyota ya kijani (vipandikizi na njia nyinginezo)Naombeni msaada mke wangu toka alipo acha kutumia sindano za depo amekuwa akitokwa damu ukeni huu sasa unaenda mwezi wa pili.
Alienda hospitali akapatiwa dawa lakini bado tatizo lipo pale pale.
Nimemuuliza maswali akajieleza vizuri kuwa aliwa kutoa mimba mara mbili lakini pia amewai kutumia vipandikizi ama vijiti vya uzazi wa mpango sasa baada ya kunipata mimi alikuwa ametumia sindano za depo nikamwambia akatoe sasa toka alipo pata hezi damu haija acha kutoka kitu ambacho kinanikusesha raha sana kwenye ndoa yangu. Mke wangu anamiaka 26,naombeni mnisaidie nawezaje kupata ufumbuzi wa tatizo hili. Pengine uliwai kusikia mtu mwenyeshida kama ya mke wangu akapona au wewe ni doctor,kwa ufupi naomba mnisaidie ili niifurahie ndoa yangu changa hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwache itakata. Mpe tende kwa wingi.
Mwambie achemshe mchaimchai mtupu bila kuchanganya na kitu anywe kutwa mara tatu.
Muwache kuuwa watoto, hizo ndiyo adhabu zake.
Nitashukuru sanaKuna Doctor mtaalam wa mambo hayo ya kina mama na anayajua Sana mambo hayo kwakua yeye mwenyewe ni mwanamke na aliwahi kupitia shida hizo, sasaivi ni mshauri mzuri Sana kwa wanawake wanaotaka kujiingiza katika matumizi hayo ya Nyota ya kijani (vipandikizi na njia nyinginezo)
Anapingana sana na matumizi ya madawa ya kuzuia uzazi japo yeye ni mtaalam na muajiriwa wa serikali. Kifupi hayo madude yana siri kubwa sana kwa vizazi vyetu na afya zetu. Nitaongea naye kama atakubali nitakuelekeza Hospital anakopatikana ila tu usije ukawa ni spy maana hawa watu wana mbinu sana.
Mkorintho wa 6
Matusi hayo.Kumbe Kuna wakati unakuaga na akili namna hii!?
Kwa hili nakusapoti Bibi.
Sent using Jamii Forums mobile app
halafu ana miaka 26Ametoa mimba mara mbili??? Mpe pole sana mama wa marehemu wawili.