Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,306
- 25,929
Hebu tujibu swali hili kwa udhati na ukweli tukizingatia ustawi wa demokrasia nchini,shughuli za kimaendeleo,amani na utulivu.
Kuna katazo la mikutano ya hadhara ya kisiasa kwa vyama vyote.Inayoendelea ni mikutano ya ndani.Tangu kutolewe kwa katazo hilo la mikutano ya kisiasa,nchi imepoa au imepooza?