Diranqw
Senior Member
- Mar 13, 2016
- 160
- 72
Najua baadhi yetu wakishasikia hili jina Dr.Slaa wanaanza kupanic ila ukweli ndio huo kwamba kutokuwepo strategistic man na nguli wa siasa za kifalsafa toka baada ya uchaguzi kumefanya siasa ya Tanzania kupwaya.Ukijaribu kufanya tafiti ndogo tu inavyoonekana ni kwamba wote walikuwa upinzania walikuwa wanapata msukumo na ujasiri wa kuzungumza hadharani kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea ndani ya nchi hasa kufichua uovu na kuchukua hatua pale mwanafalsafa huyu anapolipigia msumari wa inchi 6.
Ni vizuri viongozi wanaoendesha harakati na siasa kwa upande wa upinzani kama wako wasafi kwa dhamiri zao na kwa nchi waendelee kusema na kufichua pamoja na kutetea haki za raia wema si kwa wao kutetea waovu.Dr.W.P.Slaa mara nyingi ni chachu na tegemeo la wanyonge na yuko tayari kwa lolota wakati wowote mpaka upande mwingine watakapoelewa.Kwa hali hii kama viongozi wetu mambo yamewawia vigumu basi wakubali masharti ya mwanafalsafa huyu ili aweze kurudi kwenye anga la siasa ya TZ.
Wadau wa siasa ni wakati wa kuwasaidia hawa viongozi wetu wa upinzani kwa kuwashauri vizuri ili tuwe na upinzani imara kwa afya ya nchi yetu.''BILA UPINZANI IMARA NCHI YETU ITAYUMBA''
-Naomba kuwasilisha!!!!!!.