Jitahidi tu kaka lakini hakikisha ukipata hamu tu usiwaze sana kutiana mpigie simu uongee naye mi nilishawahi kukaa miaka miwili na nusu 2010 mpaka 2012.
Na cha kutisha zaidi huyo mwanamke aliyembaka ana ana 'ngoma-HIV' lakini akajtetea kuwa mara tu alipofunga goli,akarush bafuni na kuoga chapu chapu, akiamini kuwa tayari kajikinga na ngoma!!
Kweli kwa lile tukio la Zuma,likanikumbusha kauli aliyowahi kuitoa AG wetu, Werema, kule Bungeni alipotamka kuwa kichwa kazi yake siyo kufugia nywele peke yake!!