Naona anaupenda sanaHakuna uwelewa kwenye hii mada...
Stop.
Acha kujadili ushoga
Wewe unayekataa usiwekwe humu ndiye unayeufadhili.Nyie mnaopost post kuhusu ushoga iwe kiuponda au kuusifia mnaupa promo Sana kaeni kimya.
Sio kweli mkuu, kumbuka wakati ugonjwa wa UKIMWI unaingia Tanzania miaka ya 1980s watu wengi walikuwa wanakufa kwa kukosa elimu, leo hii vijana wengi mashoga historia zao zinaanzia ngazi ya familia wangali wadogo kabisa sababu kuu ni kutofahamu tatizo. Lakini tunavyopeana elimu itachangia kupunguza ikiwezekana kulimaliza kabisa hili janga.Nyie mnaopost post kuhusu ushoga iwe kiuponda au kuusifia mnaupa promo Sana kaeni kimya.
Hii mada kwa Africa ni kuikataa tuu na kupingaaMkuu, lengo ni kuelimishana tu kama ambavyo tunaelimishana katika mambo mengine.
Duuh..mbona maelezo hayaeleweki.?Acheni ujinga wale mashoga wa majuu hawana nguvu za kiume kabisaaa!! ...wengine hawanakikojoleo sasa nyie mnakuja na zenuu! ...waafrica weusi majinga sana marijali pure pia mnatamani pigwa nyuma!! hamna akili!
Wazungu wao wanapigana miti kwenye ''nyaa!! kwa nyaa!! ni kwa ajili ya maagizo ya miungu wao wa olympian gods ili waendelee kuwa kwenye peak ya mafanikio Duniani! mweusi ukifanywa unamsaidia mzungu kukutawala!!
Wazungu wana sababu tena wakikujua unafanywa wanakupa dawa ili undelee kusikia utamu wa nyuma kupitia, maziwa ng'ombe wa kisasa, mayai, mikate nyama zakopo na viazi mviringo zile mbegu zilitoka ulaya!! ndo maana wanaume wa kanda ya ziwa hawali chips!!
Ukiona mwanaume wa kanda hiyo anakula chips jiulize sana!! Kipunguni hukuti haya makitu!
Trust me hata watu waliishi miaka ya stone age walijua dunia ipo ukingoni kuisha..Hii ni kuonyesha namna gani dunia yetu ipo ukingoni kabisa,wenye hekima wote wanajua muda uliobaki ni mdogo Sana,hatuna miaka mingi kabla muhukumu ulimwengu huu ambaye ni YESU Kristo mwenyewe kuonekana katika mawingu,kama vile watu wa Galilaya walivyoambia Mndo1:9_10, huyu YESU mnayemuona atarudi jiinsi hiyo hiyo.
Huyu ni promota na mods wanapenda hizi mada...huu uzi utadumu miaka 1000NYUZI za Kibwabwa bwabwa huwa hazina mashiko saaaana , nadhani Moods pigeni chini hizi takataka za KICAMEROUN