Kutoka wanawake live

OMG...mkojo teena kwenye mapishii aisee..ptuuu
 
Preta upo..long sijakusikia..jukwaa linaboa na hivi vitoto vya .com wakongwe mmepotea

Nipo sana wangu.......Kwani ile Id yako ni hii.....?......nawe umepotea sana bana........
 
nasikia House Gelo anachakula chake na baba ana chakula chake,Ausi gelo atakiwi ata kuonja chumvi chakula cha baba.japo anapika yeye!! .So kisaikologia akaamua kushea na baba what she can offer
 
Ndo maana mi nakula nao meza moja na familia yangu. Huu mchezo wa hgal kuandaa msosi halafu tunakula ye anakula kivyake ndo mwanzo wa kula takataka na nilishakataa.
 
Kuna haja ya wanawake kuona umuhimu wa kumuandalia msosi mume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…