Mkuu Complex, huo ndio ukweli wenyewe.
Halaf huyu mzee kila siku napishanae hajaenda tu kuchunga ng'ombe?
Waliepuka kuingizwa mkenge.Ilikuwaje sasa watu wakaingia mkengeni.?
hivi nyie die hards wa ccm huwa mnatumia common sense kweli!!!? Au ndio ile ukijipendekeza unapata cheo somewhere!!?Halaf huyu mzee kila siku napishanae hajaenda tu kuchunga ng'ombe?
Au anachunga kwa bluetooth?
Mwenyekiti CCM JF
hapa bila bila!Ilikuwaje sasa watu wakaingia mkengeni.?
Waliepuka kuingizwa mkenge.
Pasco
Halaf huyu mzee kila siku napishanae hajaenda tu kuchunga ng'ombe?
Au anachunga kwa bluetooth?
Mwenyekiti CCM JF
Usiwe na hasira mkuu, hv ufipa kwanin zile kolido mmekata vyumba vya ofs,mjenge Ofisi muache upumbavuUnapishana naye kwenye korido hapo Lumumba au wapi kwani wewe muda wote uko hapo lumumba kwenye korido na kilaptop chako cha mtumba ukingojea kutupiwa vipeperushi ili uvirushe mitandaoni uambulie buku 7.