Kutoka Maktaba: Huyu ni nani?

yoweri Museven, wakati akifundisha Moshi, Tanzania baada ya kukimbia mapinduzi ya Iddi Amin Ddadaa
Aisee saragossa, mbona unajibu kwa kujiamini sana? Ulikuwa chuo cha ushirika kipindi hicho museveni akifundisha?
 
Last edited by a moderator:
Aisee saragossa, mbona unajibu kwa kujiamini sana? Ulikuwa chuo cha ushirika kipindi hicho museveni akifundisha?

mkuu, ingawa nimekula chumvi nyingi, lakini sikubahatika kupita ushirika moshi mkuu. Ni katika kuifahamu historia ya Afrika Mashariki kwa ujumla.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…