Kutoka Maktaba, hebu tujikumbushe

Mpagama

Senior Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
127
Reaction score
7
Inaelekea ndivyo wanavyosema, unaweza kutathmini vipi hali ya sasa ya maisha na maneno yao?
 

Attachments

  • kikwete[1].jpg
    28.1 KB · Views: 260
Hata mimi napataga shida sana ninapoona marais kwenye picha wameangua kicheko, huwa natamani kupata audio ya kilichowachekesha lakini ndio hivyo tena ni ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…