Kutoka kwa Kenyatta

kila mtu akijiajiri, viwandani hakutakua na vibarua, maopareta, mainjinia, wahasibu wala wakuu wa idara, maana kila mmoja atakua bize kujiajiri,
 
Huko maofisini watakaa kina nani Sasa kama kila mtu atakuwa mfanyabiashara?

Sent using Jamii Forums mobile app
kila mtu akijiajiri, viwandani hakutakua na vibarua, maopareta, mainjinia, wahasibu wala wakuu wa idara, maana kila mmoja atakua bize kujiajiri,
Kwan wewe umetenga wanao wangapi ili waje wawe wanatuchimbia vyoo?! Kama wote unawahamasisha wasome waje wawe na maisha mazuri je nani atatuchimbia mitaro na kutufagilia nyumba zetu?! Nadhan mmenielewa na hapo pia utakuwa mmemuelewa rais kenyatta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amevimbiwa huyu mtoto wa "mdosi", kama angetoka kwenye familia ya kawaida kama Said S. Bakhresa ningemuelewa lakini siyo yeye aliyekuta kila kitu mezani.
 
kama mkono unaenda kinywani amna shida
Duh! Hujaelewa tu! Haya basi ni kutafunie afu wewe umeze tu sawa. Alichokiandika kenyatta ni kama mzazi anavyowaambia wanae au mwalimu anavyowaambia wanafunzi wake wasome kwa bidii ili baadae waje wawe na maisha mazuri, unadhani mwalimu ama mzazi anaposema hayo hajui vyoo inabidi vizibuliwe? Na je watu wote wakifanikiwa kuwa kama matarajio ya mwalimu/mzazi nani atavizibua?! Huu ni mfano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi ni kuwa tutumie mda watu vyema, hata kama umeajiriwa tumia mda wako wa ziada baada ya kumaliza kazi zako ofisini kajishughurishe na uzalishaji mali hasa biashara hili wanao uwajengee ground nzuri katika maisha na sio kubweteka na kazi yako tu. Kwa kuwa unaweza kumrithisha mwanao biashara lakini sio kazi.

Back soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…