NshakutumiaEarly 20's raha sana ...nakumbuka enzi zangu nilikua nawakaza wa 3 kwa siku
Sasa hapo unasikia bro...nitumie namba ya dada yake huyo demu wako nimbembeleze na tamthiliya za Isidingo sio hizi za siku hizi za Uturuki !!
Mdogo mtuu bado kipyaHaya tupe uzoefu wako, kati ya mdogo mtu na dada mtu nan ananyumbulika zaidi 6\6
Duhh nitumie mbinu Gani Sasa ili atulieeDada malay..a huyo mwenye kujali hela zaidi ya upendo, mdogo mtu analia kukosa upendo wako kwasababu dada yake kishakusema kwake.
Bro Huko Mbeleni Utairudia Hii Thread yako utaona ulikuwa kajamaa fulani Kajinga Sana..Habari za muda huu
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 27.
Miezi minne iliyopita nilikutana na Binti wa miaka 25 ambae tuliingia kwenye mahusiano kwa takribani miezi minne ila tuliachana kutokana na changamoto ya yeye kudai kua nimeshindwa kumuhudumia upande wa nahitaji yake ya kifedha
Baada ya muda wa mwezi mmoja kumbbeleza alikataa kurudiana na Mimi akidai amepata mwanaume mwingine ila nimumewamtuu na anamuhudumia kwa Kila anachokihitaji kwa upandewangu nikakata tamaa nakuachana nae ila aliendelea kunitafuta kwa Baadhi ya siku.
Hivi Sasa niwiki tatu nilimtongoza mdogo wake mwenye miaka 21 naakanikubalia hivyo tuliendeleza penzi letu kama kawaida na kupeqna ahadi kadha wa kadha za uaminifu mpaka ndoa . Ilipofika Jana dada yake aligundua nakunipigia simu kunishtumu kwa nilichomfanyia kwani anasema siokwamba alikua ameachana na Mimi Bali nialifwata tuu ela ila moyo wake bado upo kwangu , kwaupande wangu nilimchana ukweli kua atulie naaniache na mahusiano yangu na mdogo wake ila sijui alichokifanya mpaka Sasa kwani mdogo wake kwasikunzima ya Leo amenizimia simu na nlipomuuliza rafiki yake alinipa jibu kua kunamuda alikua amejifungia ndani analia ila hakumuambia kinachomliza
Naombeni ushauri hii kesi naitatuaje sababu nahisi dada mtuu kamzingua mdogo wake kwa kukubali kutembea namimi
ππππππ
Kaka tuliza moyo wako akitulia mbembeleze Kisha oa weka ndani mtoto mbichi usimuacheHabari za muda huu

kisasambue cha mdogo mtu na mkubwa akileta mdomo chakata nayey.Mdogo mtuu bado kipya
Hifadhi hizo nguvu ukazitumie oktoba kutikiUngekua karibu yangu alafu unaongea huo ujinga ungekula bonge la banzi akili ikukae sawa
Kivipikisasambue cha mdogo mtu na mkubwa akileta mdomo chakata nayey.
Ila usitegemee kuoa tena hapo umesha haribu ukoo tiari ukioa mmoja wapo.
Itakuja kukukost baadae hata wanao.