Haya ni mawazo potofu kabisa, wanairamba gani wanaoongea upuuzi kama huo, acha kuleta usumbufu, mliishaambiwa kama kuna mtu analiingia Chadema kwa ajili Dr Kitila mkumbo au Zitto na washirika wake, milango iko wazi, atoke awafate walipo, huwezi kusema unaipenda chadema huku bado unawasapoti wasaliti, upumbavu, waambieni wafungue chama chao muwafate, mbona kashasema tunahitaji chama mbadall wa Chadema na ccm, sasa mnapiga kelele za nini, vipi ule mradi wa cd za msaliti Zitto unaendaje, mambulula ninyi.