KaziIendelee
JF-Expert Member
- Oct 30, 2013
- 327
- 231
Mna imani na CDM au Kitila...??? Kipendeki chama kwa sera zake na si uwepo mtu fulani ndani ya chama... Je ikitokea kafa mtafanya nini..??Kamati kuu ya Chadema,tunawaomba,sisi wanairamba,mumurudishie uanachama Dr Kitila Mkumbo; ni mchango mkubwa sana kwetu lakini pia sisi kama wanachadema toka Iramba Magharibi bado tunaimani na sana na Chadema
Kamati kuu ya Chadema,tunawaomba,sisi wanairamba,mmurudishie uanachama Dr Kitila Mkumbo; ni mchango mkubwa sana kwetu lakini pia sisi kama wanachadema toka Iramba Magharibi bado tunaimani sana na Chadema.
Nyie mna mapenzi na Kitila, sio Chadema. Alichofanyia chadema bado mnaita ni mchango mkubwa kwenu,, mmmh!Kamati kuu ya Chadema,tunawaomba,sisi wanairamba,mumurudishie uanachama Dr Kitila Mkumbo; ni mchango mkubwa sana kwetu lakini pia sisi kama wanachadema toka Iramba Magharibi bado tunaimani na sana na Chadema