Habari Wana JF
Nilkuwa naomba kujua na kufahamu mtu yoyote amabe anajua process za kuweza kuahamia chuo cha serikali kutok chuo cha private
Je inakuaje na nini uwe navyo hadi kuamia cha serikali
Inawezekana ikiwa tu kuna nafasi Latina chuo cha serikali unachotaka kuhamia..... it's easy cause inabidi uwasiliane na vyuo husika then everything will be alright