Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,563
- 21,665
Hotuba ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani ya Msemaji Mkuu wa Wizara ya Mambo Ndani ya Nchi, Godbless Lema imezuiliwa kusomwa.
Imezuiliwa kusomwa mpaka kwanza kamati ya Kanuni ya Bunge iipitie hotuba hiyo kabla ya kusomwa bungeni ili kuangalia kama hotuba hiyo imekiuka kanuni za Bunge.
Imezuiliwa kusomwa mpaka kwanza kamati ya Kanuni ya Bunge iipitie hotuba hiyo kabla ya kusomwa bungeni ili kuangalia kama hotuba hiyo imekiuka kanuni za Bunge.
Bunge limesitisha shughuli za bunge hadi sakumi jioni ili kuruhusu kamati ya bunge kanuni na maudhui kuweza kuipitia na kujiridhisha na yaliomo katika hotuba ya msemaji wa kambi rasmi ya upinzi bungeni Mh. Godbless Lema kwaupande wa wizara ya mambo ya ndani.