Je serikali itakubali kuisimamisha sheria ya stakabadhi ya mazao ghalani kwa miaka miwili kutokana na kugundulika kuwa imekuwa kero badala ya kuondoa... swali kutoka kwa Mtutura, mbunge wa Tunduru.
Pia ametoa pendekezo la kupunguza baadhi ya tozo ambazo hupunguza kipato cha mkulima. waziri mkuu amekubaliana na pendekezo hilo na kusema kuwa kwa zao la korosho pekee kuna tozo zaidi ya 10 ambazo humpunguzia mkulima shilingi 250 kwa kila kilo moja ya korosho