Kutoboa oral ya TRA-2025

Kutoboa oral ya TRA-2025

Joined
Feb 21, 2012
Posts
95
Reaction score
6
Mazeee, wale ambao msha fanyiwa oral ya hizi nafasi za TRA, interviews ambazo zianendelea tupeni habari basi mambo yakoje huko?

Tupeane nyago za kutoboa aseeee
 
Ama kweli oral iondolewe mimi wa kupata majibu baada ya kutoka kwny panel wakati kila kitu kilipotea nlivoingia mule
 
Pole Mkuu,ili tunaomba utusaidie maswali uliyoulizwa itusaidie kujipanga wenye oral zinazoendelea
Mimi najiandaa kufanya kesho Jumatano
 
XStics of tax, methods of protectionism, advantages of double taxation, adjusted assessment mengine nmesahau

Jumla ni 6 qns pamoja na la kujiintroduce
 
HV WE NDO ULIKUWA UMEVAA SHATI JEUPE TAI NA SURUALI NYEUS ULIKUWA UNATETEMEKA UNAMUANGALIA SANA YULE MDADA?
 
Ndugu zangu someni someni sana NBAA wanataka kupita na watu.Usiombe unaingia huna point hata moja unaanza kutazamana na hao malecture unaanza kuhesabu vidole sali sana omba sana
 
Oral sio nzuri mungu awatangulie mkumbuke point za kujibu ,nakumbuka mwaka jana kwenye mishe nayopiga sasa hivi niliingia kwenye interview nikakutana na wafaransa wa tatu wameniandalia kiti changu kabisa nyie na mtu mmoja anakuwa interviewed kwa lisaa limoja.
 
Aisee we acha tu. Nilivojibu huko Mungu anajua
 
Oral sio nzuri mungu awatangulie mkumbuke point za kujibu ,nakumbuka mwaka jana kwenye mishe nayopiga sasa hivi niliingia kwenye interview nikakutana na wafaransa wa tatu wameniandalia kiti changu kabisa nyie na mtu mmoja anakuwa interviewed kwa lisaa limoja.
Yani acha kbs. Oral y’a NBAA nimeinyooshea mikono… Hee sasa lisaa lizima hao mafaransa wanauliza nn??
 
Pole Mkuu,ili tunaomba utusaidie maswali uliyoulizwa itusaidie kujipanga wenye oral zinazoendelea
Mimi najiandaa kufanya kesho Jumatano
Mkuu maswali ni knowledge uwe nayo tu kwa kada yako na huwa yana badilika kila kada ishu ya msingi sio kujua maswali isipokuwa mtu anatakiwa awe na upeo wa juu kukumbuka point wanazo taka kwa kila swali, hapo lazima iwe imara kwenye kodi na forodha ndio itakuwa simple.
 
Back
Top Bottom