Kutoa picha ya Mgonjwa wako

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,988
1,209
Kumezuka tabia ya baadhi ya ndugu zetu na jamaa kutoa picha za wagonjwa wao katika mitandao ya kijamii na hasa Facebook.

Kwa mtazamo wangu naona njia hii siyo sahii sana maana inakuwa unamdhalilisha mgonjwa hasa pale mgonjwa anapokuwa hajitambui.

Nini maoni yako mwana jamvi?
 
Back
Top Bottom