Makanyagio
Senior Member
- Jun 25, 2009
- 125
- 30
Hivi ndugu zangu waislam niwapi naweza mpata shekhe aniombee mtoto wangu atokwe na mapepo yanayomsumbua? Hawa ndugu zetu wakristo nimeona mara kadhaa wakiombea watu na mapepo yanatoka lakini nasita kumpeleka mwanagu uko.

Wewe ni dini gani kwanza?
Dini ya kazi gani? Anataka kutoa pepo,ata kama mpagani
Tatizo unaweza kuta tatizo co mtoto na mzazi pia anachangia pengine inawezekana na wewe una mambo ya kishirikina lkn hujitambui tafuta chanzo cha mwanao kuwa na mapepo ila hakuna la kumshinda mungu yote yanawezekana kwake aaminie co lazima pastor au sheikh unaweza kukemea mwenyewe na kuvunja
Hivi ndugu zangu waislam niwapi naweza mpata shekhe aniombee mtoto wangu atokwe na mapepo yanayomsumbua? Hawa ndugu zetu wakristo nimeona mara kadhaa wakiombea watu na mapepo yanatoka lakini nasita kumpeleka mwanagu uko.
Only in the Name of JesusHivi ndugu zangu waislam niwapi naweza mpata shekhe aniombee mtoto wangu atokwe na mapepo yanayomsumbua? Hawa ndugu zetu wakristo nimeona mara kadhaa wakiombea watu na mapepo yanatoka lakini nasita kumpeleka mwanagu uko.
Si rahisi kwa Sheikh kufukuza mapepo. Wanayatuliza tu lakini mgonjwa anaendelea kuteseka kama kawaida. Hayo mapepo ni mali yao, wanayafuga. Wayafukuze tena kwenda wapi?Hivi ndugu zangu waislam niwapi naweza mpata shekhe aniombee mtoto wangu atokwe na mapepo yanayomsumbua? Hawa ndugu zetu wakristo nimeona mara kadhaa wakiombea watu na mapepo yanatoka lakini nasita kumpeleka mwanagu uko.
Hao wakristo wanafanya maigizo tu,hawatoi pepo wachafu wala "wasafi",katika uislamu kuna vitabu vinamaelekezo ya kufanya,ni wewe mwenyewe waweza fanya bila kwenda kwa mtu kukufanyia.Vitabu hivyo vinauzwa sehemu nyingi nje ya misikiti na kwenye maduka ya vitabu vya kiislamu.Hivi ndugu zangu waislam niwapi naweza mpata shekhe aniombee mtoto wangu atokwe na mapepo yanayomsumbua? Hawa ndugu zetu wakristo nimeona mara kadhaa wakiombea watu na mapepo yanatoka lakini nasita kumpeleka mwanagu uko.
Wakristo wengi wana mapepo,ndio mana unaowaona wanaoambiwa wanatolewa mapepo ni wakristo.Wakristo wanawafuga hawa mapepo,yakiwageukia ndio wanajifanya wanawatoa.Si rahisi kwa Sheikh kufukuza mapepo. Wanayatuliza tu lakini mgonjwa anaendelea kuteseka kama kawaida. Hayo mapepo ni mali yao, wanayafuga. Wayafukuze tena kwenda wapi?