Kutoa jasho la harufu kali kwenye kwapa

Kutoa jasho la harufu kali kwenye kwapa

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,578
Reaction score
1,817
Habari
Na ndugu yangu hata akitoka kuoga ile kubadilisha nguo tayari harufu nyumba nzima ya jasho kwenye kwenye kwapa.

Nadhani ana tatizo la kutoa jasho sana ila lina harufu kali haswa, ni msichana namuone huruma sana akianza chuo anaweza kosa amani.

Msaada wenu wataalamu hapa.
 
Atumie
20220220_171606.jpg
 
Pole yake sana, weka picha yake apewe muongozo...
 
Paka asali wiki moja kwisha habari yake, mimi asali imenitibu fangas sehemu za siri zilizonitesa kwa miaka zaidi Ya 10

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Habari
Na ndugu yangu hata akitoka kuoga ile kubadilisha nguo tayari harufu nyumba nzima ya jasho kwenye kwenye kwapa.

Nadhani ana tatizo la kutoa jasho sana ila lina harufu kali haswa , ni msichana namuone huruma sana akianza chuo anaweza kosa amani.

Msaa wenu wataalamu hapa.
Mtafutie body roller ya kukata kikwapa.

Hasa ...shower to shower ni nzuri sana
 
Pole yake mwambie awe anachkua kitunguu saum pnje kadhaa ana saga na kuchanganya kwenye maziwa mgando bin mtindi ya kienyej alafu anakuwa anapakaa kila akitaka kulala kwa aku 7 tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom