Hehe habari nzito hizi.Mapya haya wallahi
Inategemea kama anamafua halafu mara nyingi anayavuta ndani na amekuwa nayo mda mrefu saa nyingine inaleta harufu mbayaWajameni kuna hili tatizo lakutoa harufu puani
Nina rafiki yangu nashindwa kumueleza kutokana na ukaribu nilionao nayeye hakika ukiakaa karibu nae anatoa harufu mbaya puani nashidwa kulewa tatizo nn, kama kunaayejua tatizo linasababishwa nann na tiba nn tujuzane jameni, ahsante