Bandarini ni Port Charges ambavyo ni kiasi kidogo kama laki tatu na point na storage charges tu inategemea kama hutochukua muda mrefu kutoa gari yako maana storage huwa inahesabiwa kwa siku ushuru ni TRA,halafu wakala wa meli pia wana heal unatakiwa kuwalipa,na agent.Kazi inakuwaga kwenye ushuru waTRA ulizia huwa wana schedule ya ushuru kutokana na mwaka wa gari na cc za gari lako na inategemea na exchange rate ya siku hiyo pia angalia sana hawa ma agent wamekuwa wajanja wajanja wajanja sana wanaweza kukutajia agency fee kubwa uwe makini