N nteze Member Joined Mar 24, 2014 Posts 8 Reaction score 0 Mar 31, 2014 #1 Kabla ya kuchangia damu,mbali na wingi wa damu kuna magonjwa gani mengine wanaangalia?Ni magonjwa gani ukiwa nayo damu yako haichukuliwi?
Kabla ya kuchangia damu,mbali na wingi wa damu kuna magonjwa gani mengine wanaangalia?Ni magonjwa gani ukiwa nayo damu yako haichukuliwi?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,341 Reaction score 829,491 Mar 31, 2014 #2 Aids aka umeme