Naunga mkono hojaAnakua na akiba pembeni hivyo haoni umuhimu wako
Ila kam mwenzake huyoo anamtubmwingineJitahidi usifanye matendo ya kumuudhi mwenzio, kuna muda mwingine watu huwa wanaona bora kulikimbilia pengo kuliko kuendelea kugugumia na jino bovu
Dah umenkumbusha machungu
Girl wangu wakwanza kabsa..... Nlimpenda sana nkamuheshimu sana
Alipo fika 4m5 kwenda 6 akaanza kindumbwendumbwe.. Mala awake na kakosea yeye mwenyew
Mala vile yan.... Anaanzisha mvurugo afu anaugeuza kua wangu.... Afu me cool yani
Kifupi hakuna kitu apo
Anzaga kuangalia upande mwingine mkuu
Huo ni jmwingine unakuta makosa anayachokonoa mwenyew ukireact anakimbilia kusema kuanzia leo mi na ww basi
Wengi wanaoongeaga hivyo wanasukumwa na jazba tu wala hawamaanishi, ndio maana akili zikiwatulia wanaomba msamaha mrudianeIla kam mwenzake huyoo anamtubmwingine
Ndugu yetu anataabu
Swadakta kabxaaa MkuuAnakua na akiba pembeni hivyo haoni umuhimu wako
Jipange tu mkuunijipange kufanya yangu mapemaaaa