Chanzo kikubwa ni walimu wenyewe hasa walioko vijijini na zaidi wazee kutojitambua,kuwa walevi,masikini na tegemezi wa kukopa vitu vidogo vidogo kwa wanakijiji na pia utofauti wa elimu na madaraja ya mishahara yanayosababisha walimu wenyewe kwa wenyewe kudharauliana na hii inasababisha kutokuwa na umoja HIVI VYOTE UKIVIWEKA KWA PAMOJA NDO UNAPATA SABABU YA WALIMU KUTOTHAMINIWA