Kaisari
JF-Expert Member
- Nov 13, 2012
- 3,636
- 3,045
Nipo tayari kurekebishwa, sio mwandishi mzuri yamkini nisikushawishi kwa hoja. Katika mada yangu iliopita "elimu ya mnyika" wengi waliochangia na wanaoendelea kuchangia nimeona mmoja tuu amenielewa ipasavyo wengi wamechangi lakini nimeona tofauti kidogo. Nilimaanisha
Wasomi wengi ni waumini wa vyeti badala ya nini kimo kichwani baada ya shule!!
Hii inapimwa sasa katika utendaji kazini. Nilitolea mfano wa mr mrema na dj alieko sasa ktk wizara hiyo! Aidha hebu tuulizane kuna wastaafu wangapi nchini wanasotea mafao yao mpaka wengine wanakufa wakizungushwa tuu. Lakini hela hizohizo zinawekezwa kujenga maghorofa huku mjini. Linamsaidia nini babayangu kule kahama hili ghorofa hapo mirambo street?? Yapo mangapi ya hivyo?? Na jee outcome ya huo uwekezaji unamgusaje mchangiaji?? Ambaye shilingi yake inajenga hayo maghorofa ananufaikaje na yatokanayo na maghorofa hayo?? Bado akistaafu anahangaishwa mara akalete faili mara kumbukumbu hazipo. Ivi anayetakiwa kutunza ni muajiri au muajiriwa??
Huu udaktari wa anaeliongoza hilo shirika unamanufaa gani kwetusisi wahanga wa matatizo na shirika hilo?
Bora akae hapo mtu mwingine atakaye tatua matatizo yetu haijalishi anaelimu gani ila atende jamii inavyotaka.
Hivi anaempangia kazi mtu ni muajiri au muajiriwa? Yaani nikikuajiri mimi ndiye nakupangia kazi au unakuja na mamboyako?? Hivi nani kamuajiri waziri, kama sisi ndio tumemuandika kazi bosi wa waziri manayake tunataka afanye vile sisi tunataka! Na sio afanye anavyojua yeye! That's violation of contract.
Ndiyo maana jamii inaweza kumtuma kazi mtu bila kujali elimu yake maana hao ma professor na madoctor wanaweza kutumia muda mrefu sana ku present cv badala ya ku discuss issue !!
Kwa mfano kijana aliyetoka veta akawa fundi magari kwa miaka kumi anashughulika na diesel engine alafu umlete graduate toka mlimani pale wa fani hiyo unilinganishie utendaji. Utapata jawabu gani, sas labda daytoday life application ziandaliwe certification zake. Hii ipo kila mahali hata kwenye utabibu pia. ___-- nitaendelea--___