winchester
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 285
- 335
asante sana . Sasa hakuna developer unayemfahamu mwenye bei nzuri au hata member humu jfkabla hujatafuta developer gharama za kueka app store
-windows phone dola 16
-android bure
-ios(iphone) ni dola 99
hivyo kueka tu app store zote uwe na kama 250,000
then jumlisha na hela ya kudevelop hio apps
then angalia kama italipa
asante sana . Sasa hakuna developer unayemfahamu mwenye bei nzuri au hata member humu jf
poa ngoja niwasubirie hapa hapawapo kibao watakuja tu,
kabla hujatafuta developer gharama za kueka app store
-windows phone dola 16
-android bure
-ios(iphone) ni dola 99
hivyo kueka tu app store zote uwe na kama 250,000
then jumlisha na hela ya kudevelop hio apps
then angalia kama italipa
Habari. Nahitaji kutengenezewa application iwe na uwezo wa kufanya kwenye simu aina zote . Ambayo ni kama library na mtu anaweza download pdf files. Iwe ni ya kulipia kwa baadhi ya vitu na vingine vitakuwa bure. Naomba gharama zako za kutengeneza application au tunaweza kufanya partnership kwenye kazi hiyo.
Tafadhari nitafute kwa email hii:
jaberamatogoro@gmal.com
Tutaongea na kukubaliana kuanza kazi Mara moja
Android ni dola 25 ili uweze kufungua developer account.
Wanaoweza kutengeneza tupo wengi tu, sema tunaipuuzia kazi sababu its not even a challenge. Tutakwambia bei utakimbia.Ina maana wataalamu wa hii kitu wapo wachache hivi
Tena hiyo ya Apple ni kwa mwaka.kabla hujatafuta developer gharama za kueka app store
-windows phone dola 16
-android bure
-ios(iphone) ni dola 99
hivyo kueka tu app store zote uwe na kama 250,000
then jumlisha na hela ya kudevelop hio apps
then angalia kama italipa
mimi sio mtaalamu wa hayo mambo. Nahitaji kupata application ntakucheki pm. Kama tunaweza fanya kaziWanaoweza kutengeneza tupo wengi tu, sema tunaipuuzia kazi sababu its not even a challenge. Tutakwambia bei utakimbia.
Unajua kusema itumike simu aina zote, developer aanze na iOS, aje Android then Windows, lazima upange milioni kwenda juu.
Hapo naongelea native, kusema mtu afanye HTML5 app inawezekana, akatengeneza moja na ikarun kwenye OSes zote lakini tatizo la HTML5 apps ziko very slow na zina limits nyingi, so developer yoyote aliye serious atakimbia kutengeneza mobile apps kwa kutumia HTML5.
naku pm specificationTena hiyo ya Apple ni kwa mwaka.
Anyway ntakutengenezea ya Android/WP nacharge $25/hour. Leta specification kamili nikupe estimate.
Tupatie Requirements zako, tutakujulisha. Gharama zetu ni nafuu mno.Habari. Nahitaji kutengenezewa application iwe na uwezo wa kufanya kwenye simu aina zote . Ambayo ni kama library na mtu anaweza download pdf files. Iwe ni ya kulipia kwa baadhi ya vitu na vingine vitakuwa bure. Naomba gharama zako za kutengeneza application au tunaweza kufanya partnership kwenye kazi hiyo.