Fisadi anachangiwa,inamaana kafulia?,ikulu hataiona ng'o
kwenye bandwitch umeniacha kdgo.App ni issue ndogo zipo ready made templates kwa kazi hio na unaweza tumia hata website ya wordpress kufanya kazi hio.
Hapo kazi kubwa ni kutafuta server ambazo zitastream hiyo event na kama unavyojua video zinakula sana bandwitch hivyo hapa ndio mahala muhimu.
Pia itabidi uwe na vifaa ambavyo vitarusha hio video live hadi kwenye server
Fisadi anachangiwa,inamaana kafulia?,ikulu hataiona ng'o
kwenye bandwitch umeniacha kdgo.
Possibility ya kupata hizi technicalities ikoje? Mimi nakusudia kuwa na kipindi kinachorushwa moja kwa moja kwenye internet ila sitaki kutumia Tv ndo maana so nifungue macho zaidi mkuu. Shukrani kwa dondooApp ni issue ndogo zipo ready made templates kwa kazi hio na unaweza tumia hata website ya wordpress kufanya kazi hio.
Hapo kazi kubwa ni kutafuta server ambazo zitastream hiyo event na kama unavyojua video zinakula sana bandwitch hivyo hapa ndio mahala muhimu.
Pia itabidi uwe na vifaa ambavyo vitarusha hio video live hadi kwenye server
App ni issue ndogo zipo ready made templates kwa kazi hio na unaweza tumia hata website ya wordpress kufanya kazi hio.
Hapo kazi kubwa ni kutafuta server ambazo zitastream hiyo event na kama unavyojua video zinakula sana bandwitch hivyo hapa ndio mahala muhimu.
Pia itabidi uwe na vifaa ambavyo vitarusha hio video live hadi kwenye server
Possibility ya kupata hizi technicalities ikoje? Mimi nakusudia kuwa na kipindi kinachorushwa moja kwa moja kwenye internet ila sitaki kutumia Tv ndo maana so nifungue macho zaidi mkuu. Shukrani kwa dondoo