kutengeneza instrumental

mseveni

Senior Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
125
Reaction score
19
hi jf member, Naomba msaada ni program ipi unaweza kutengeneza instrumental, yaan kama Una mziki then unataka useperate mziki na beat yake.
 
hi jf member, Naomba msaada ni program ipi unaweza kutengeneza instrumental, yaan kama Una mziki then unataka useperate mziki na beat yake.

mbona mzee sasa instrumental na beat filtering vitu viwili tofauti we unataka kitu gani?? ili tukusaidie. Instrumental unaweza kutengeneza hata kwenye footloops (fl studio) ila kama beat filtering unaweza kutumia wavosaur ambayo mimi naitumia..its very easy to use
 
sasa hiyo wavosaur inatumikaje?.. yani naomba kujua mambo ya msingi kwenye jinsi ya kutumia
 

Nataka kama unawimbo then sound uiondoe ubakie na beat tu
 
sio kibongo bongo tu hata kimarekani marekani!

Mkuu unataka kuniambia
major music recording studios,the like of universal and sony wanatumia commercial softwares like fl studio to make beat?!
 
Mkuu unataka kuniambia
major music recording studios,the like of universal and sony wanatumia commercial softwares like fl studio to make beat?!

cubase,fl studio na beatmaker ni za kiafrika tu,ila mbele mbele huko wameadvance zaidi
 
Mkuu unataka kuniambia
major music recording studios,the like of universal and sony wanatumia commercial softwares like fl studio to make beat?!

Bro mi natumia fl studio kutengenezea beats na hasa sa trap na producer bora kabisa wa huo mziki ni LEX LUGER ambaye anatumia hiyo program kutengenezea beats zake! Kuhusu universal na hizo nyingine bado sijajua!
 
Duniani ni Logic kwa sasa....FL wamebaki wachache sana wanaotumia sana wanaochipukia ... Cubase bado ina nguvu ktk baadhi ya maeneo, lakini Logic ndiyo ya kisasa zaidi. Mwisho kwa hilo unalolihitaji hakiwezekani labda Uloop sehemu ya instrumental iliyo wazi kwa kutumia program zenye uwezo wa kufanya hivyo...
 
Program sio ishu sana ishu ipo kwenye creativity yako producer na sikio lako tu, hasa sikio lako ndio muhimu kwenye sound bt iwe fl,cubase,reason,logic,pro tools zote sawa tu
 
Program sio ishu sana ishu ipo kwenye creativity yako producer na sikio lako tu, hasa sikio lako ndio muhimu kwenye sound bt iwe fl,cubase,reason,logic,pro tools zote sawa tu

Hatukatai mkuu,ila ktk creative/entertainment industry mambo yamedilika.the one who is fully equiped with advance technology is the winner..take technology iliyotumika kutengeneza move ya avatar,ni zaidi ya hivyo ulivyo visema.tukija ktk music mixing/mastering napingana na wewe kusema eti ni sikio lako tuu..hiyo ni kianalogia mno.bado utahitaji backup ya kutosha kutoka ktk programes na vifaa vya kisasa ili upate sound kali.ndo mana studio kubwa kubwa duniani kila baada ya mwaka huwa wanafanya overhaul ya vifaa vya zamani na kuingiza vya kisasa.latest equipment.la muhimu ni kuwa na ideas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…