mfereji maringo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 1,043 Reaction score 263 May 20, 2012 #1 Habari wakuu! Wadau nimepata dili la kutengeneza vitambulisho na software niliyonayo ni MS Publisher, Je naweza print IDs za watu tofauti ktk sheet moja kwa kutumia software hiyo? au kuna softwar gani inaweza nsaidia? Natanguliza shukrani
Habari wakuu! Wadau nimepata dili la kutengeneza vitambulisho na software niliyonayo ni MS Publisher, Je naweza print IDs za watu tofauti ktk sheet moja kwa kutumia software hiyo? au kuna softwar gani inaweza nsaidia? Natanguliza shukrani