Kutengeneza App

Kutengeneza App

kamikaze tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
232
Reaction score
175
Habari wakuu
Kama kichwa cha habari hapo, ni njia gani inahitajika kuweka App kwenye play store na AppStore ili mtu aweze kuidowload kama anahitaji, naamini hata Adimins anaweza kunisaidia
 
kuweka app playstore inatakiwa kuwa na account na account kufungua ni kama elfu 50 hivi
 
kuna uzi niliona comment zake zikiongelea hilo jambo walidai garama ni kama elfu 35 Kama sikosei
 
Play store ni dola 25 one time, App store dola 99 kwa mwaka. Of coz inabidi utengeneze au utengenezewe App ya Android for Play store au iOS for App Store hizi ni App mbili tofauti hata kama zinafanya kile kile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom