Wadau nimekuwa nikijiuliza hivi siku shughuli za kisiasa na shughuli za kiutendaji vikitenganishwa kunaweza kukaleta impact yoyote na hasa ya kusonga mbele zaidi kimaendeleo?. Watu wamesikika wakilalamika wakisema, "siasa bwana zinatuharibia nchi au utawasikia wakisema siasa bwana zinatuchelewesha" katika hili wewe kwa mtazamo wako unaona kuna umuhimu wowote katika hilo?.